Share

“Tuwaruhusu hawa wanajeshi, hakuna kitu kinaishi maisha” –Shally Raymond

Share This:

Mbunge wa viti maalum CCM Shally Raymond ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni na kuchangia mapendekezo yake katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa kwa mwaka wa fedha 2018/19 iliyowasilishwa Bungeni

Leave a Comment