Share

Twaweza wajibu tuhuma za kuvujisha barua ya COSTECH “hatujakosea”

Share This:

Baada ya Twaweza kutuhumiwa kusambaza barua waliyopewa na COSTECH, Twaweza wamerudi na kukanusha tuhuma hizo huku wakidai barua ambayo imesambaa mtandaoni haijatokea kwao.

Leave a Comment