Share

Twiga hatarini kutoweka Kenya

Share This:

Nchini Kenya na kote Afrika, idadi ya twiga imepungua kwa kiasi kikubwa katika miongo mitatu iliyopita, kwani baadhi ya jamii inawachinja na kula nyama yake pamoja na kutumia ngozi kama dawa. Lakini kutoweka kwa wanyama hawa hakupewi kipaumbele kinachostahili.

Leave a Comment