Share

Twiga ‘maarufu duniani’ hatimaye azaa

Share This:

Twiga kwa jina April, alipata umaarufu sana mtandaoni na kutazama na mamilioni ya watu akitarajiwa azae, katika bustani ya wanyama ya Harpursville, New York.

Leave a Comment