Share

Ubalozi wa Marekani Tanzania watoa ripoti yao juu uchaguzi Buyungu na Kata 79

Share This:

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania wametoa taarifa yao kuhusu uchaguzi wa marudio uliomalizika August 12, katika Kata 79 na Jimbo la Buyungu ambapo Mbunge wake alifariki.

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa katika website ya US Embassy Tanzania imeeleza kuwa uchaguzi huo uligubikwa na matukio ya fujo na ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi.

Leave a Comment