Share

Ubunifu wa mavazi Burkina Faso

Share This:

Mbunifu wa mavazi nchini Burkina Faso, Bazem’ Se ameleta mabadiliko makubwa ya kitamaduni baada ya kukibuni tena kitambaa kinachojulikana kama ‘pagne’ na kukifanya kitambaa hicho cha bei nafuu, kuwa na muonekano wa kisasa na kukipa jina jipya – Koko Dunda.

Leave a Comment