Share

Uchaguzi Mkuu Kenya 2017

Share This:

Hatimaye Wakenya wamejitokeza kupiga kura kuwachagua viongozi wao. Baadhi ya wapiga kura walikesha vituoni kufuatia kiu ya kutaka kupiga kura mapema. Ushindani mkali upo kati ya Rais Uhuru Kenyatta anayewania muhula wa pili na Raila Odinga wa muungano wa upinzani NASA.

Leave a Comment