Share

Uchaguzi Mkuu wa TFF, Ally Mayai atikisa

Share This:

Katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Agust 12, wadau mbali mbali wajitokeza kuchukua fomu za uongozi, akiwemo mchezaji mpira wa zamani wa klabu ya Yanga SC na timu ya Taifa ya Tanzania, Ally Mayay

Leave a Comment