Share

Uchaguzi nchini Msumbiji

Share This:

Raia wa Msumbiji wanapiga kura hii leo kuchagua rais na wawakilishi wao watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Mustakabali wa kisiasa wa Msumbiji utajulikana baada ya wapiga kura takriban milioni 13 kushiriki katika zoezi hilo hii leo. Je unaamini kuwa chaguzi za Afrika hutekelezwa kwa njia huru na haki? Kurunzi 15.10.2019

Leave a Comment