Share

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, WASIMAMIZI WAPYA WAAPISHWA DSM

Share This:

Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, wasimamizi wapya wa uchaguzi huo kwa mkoa wa Dar es Salaam wameapishwa leo ambapo pia wamepewa wito wa kusimamia kwa haki chaguzi hizo.

Leave a Comment