Share

Uchaguzi wa kujipanga nyuma ya mgombea Uganda

Share This:

Baada ya kusubiri kwa miaka 17, hatimaye Waganda wameweza kuchaguwa viongozi wao wa vijiji na mitaa, lakini huu si uchaguzi wa kawaida wa kupiga kura ya karatasi, bali ni kujipanga nyuma ya mgombea unayemtaka. Ripoti ya Lubega Emmanuel kutoka viunga vya mji mkuu wa Uganda, Kampala. Papo kwa Papo 10 Julai 2018. Unauonaje uchaguzi kama huu?

Leave a Comment