Share

Ufafanuzi kuhusu Tundu Lissu kukamatwa nyumbani kwake Dodoma

Share This:

Kuna taarifa kwamba Jeshi la Polisi kanda maalum Dodoma linamshikilia Mwanasheria mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu baada ya kumkamata asubuhi ya leo March 16, 2017 Ayo TV na millardayo.com imempata kwenye exclusive Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA Tumaini Makene kwa ajili ya ufafanuzi wa taarifa hizo.

Leave a Comment