Share

Ufafanuzi wa polisi K’njaro kuhusu aliyefariki baada ya kubatizwa

Share This:

Taarifa kutokea Kilimanjaro ni kwamba kuna mtu ambaye amefariki katika wilaya ya hai muda mchache baada yakubatizwa kutoka kwenye dini ya kiislamu kuelekea kwenye dini yakikristo, na kamanda wa polisi Kilimanjaro Wilbroad Mutafungwa anasema marehemu amefariki wakati akiwa anaendelea kuogelea nakufurahia baada yakubatizwa na sio kwamba amefariki wakati akiwa anabatizwa kama ilivyosemekana

Leave a Comment