Share

Ufaransa na Kenya zatia saini makubaliano ya kibiashara ya takriban dola bilioni tatu

Share This:

Ufaransa na Kenya zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wao kibiashara baada ya kampuni za Ufaransa kutia saini kandarasi za kibiashara na Kenya zenye thamani ya takriban dola bilioni tatu. Hayo yamejiri wakati wa ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini Kenya.

Leave a Comment