Share

Ufaransa, Ubelgiji zayakataa matokeo uchaguzi DRC

Share This:

Ufaransa na Ubelgiji zimeungana na muungano wa upinzani wa LAMUKA nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutilia mashaka matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi kiongozi mmojawapo wa upinzani, Felix Tshisekedi, dhidi ya Martin Fayulu wa LAKUKA na Emmanuel Ramazan Shadary aliyeungwa mkono na Rais Joseph Kabila. Je, nini hatima ya Kongo baada ya matokeo haya? Kurunzi 10 Januari 2019.

Leave a Comment