Share

Ufugaji wa samaki aina ya kambare eneo la Bagamoyo Tanzania

Share This:

Je umewahi kufikiria kuwafuga samaki badala ya mifugo wengine na ndege ambao ndio hufugwa kwa wingi? Kutana na mwanamke mjasiriamali anayewafuga samaki aina ya “Kambare” kule Bagamoyo. Mradi ambao unampa faida na pia kuwapa vijana ajira. Vidio hii imepigwa na mpiga picha wa DW Ahmad Juma.

Leave a Comment