Share

Uhaba wa watumishi wa afya Newala, wananchi waomba waletwe watumishi wenye sifa.

Share This:

#MUBASHARA
Uhaba wa watumishi wa afya katika zahanati ya kijiji cha Makote wilaya ya Newala mkoani Mtwara umepelekea kamati ya afya ya zahanati hiyo kutoa huduma za kitabibu kwa wagonjwa ikiwemo kuweka vipandikizi kwa wakina mama, jambo lililoistusha serikali na kutaka uchunguzi ufanyike ili watumishi waliohusika wachukuliwe hatua.

Leave a Comment