Share

Uharibifu wa mazingira ni mkubwa mijini

Share This:

Mbuga ya wanyama ya Nairobi ndiyo mbuga ya pekee duniani iliyo katikati ya jiji. Wanamazingira wanalalamikia uharibifu wa mazingira uliofanywa katika mbuga hiyo kipindi reli ya kisasa kutoka Mombasa kuelekea Nairobi ilipokuwa ikijengwa.

Leave a Comment