Share

Ujerumani yamkamata mshukiwa wa shambulio la Lori

Share This:

Polisi nchini Ujerumani inamshikilia raia wa Syria kwa tuhuma za kuiba lori alilolitumia kuyagonga magari yaliyokuwa yamesimama kwenye taa za barabarani katika mji wa Limburg ulioko magharibi mwa Ujerumani.

Leave a Comment