Share

Ujio mpya wa Gigy Money baada ya ‘Papa’ kubamba

Share This:

Msanii wa muziki Gigy Money weekend hii aliingia location na model Calisah kwaajili ya kushoot video ya wimbo wake mpya baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Papa’. Mrembo huyo alifunguka mambo wengi kuhusu muziki wake pamoja na kumzungumzia director Joowzey .

Leave a Comment