Share

Ukata wa Petroli wahangaisha Wakenya

Share This:

Ukosefu wa mafuta ya Petroli uliosababishwa na hatua ya nyongeza ya kodi ya asilimia 16 kwa biadhaa hiyo unazidi kuwakera na kuwahangaisha Wakenya.Shughuli za usafiri zimetatizwa kwa kiasi kikubwa.Papo kwa Papo 12.09.2018

Leave a Comment