Share

“Ukiona hivyo ujue na wewe kibamia”-Roma

Share This:

Msanii wa hiphop Roma mkatoliki siku chache zilizopita aliagizwa na BASATA kubadilisha baadhi ya mistari katika wimbo wake wa kibamia alioimba na Stamina, kutokana na agizo hilo kukawa na baadhi ya comments kutoka kwa mashabiki.

Leave a Comment