Share

‘Ukiwa na njaa utafanya lolote, hata kudanga nitadanga ’ Gigy Money

Share This:

Muimbaji Gigy Money amewajibu watu waliokuwa wakimsema kuwa ameanza kufanya kazi kabla ya arobaini ya mtoto kitu ambacho siyo kawaida kama ilivyozoeleka, ambapo yeye kasema kuwa anafanya vile ili kumsaidia mwanae na atafanya lolote kwa ajili ya mtoto wake.

Leave a Comment