Share

“Ukiwa Naibu Waziri, ukiwa Waziri, unalinda serikali yako kwa nguvu zote” – Kitwanga

Share This:

Mbunge wa Misungwi ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga hivi karibuni alisamama Bungeni akihoji kuhusu uhaba wa maji kwenye jimbo lake jambo ambalo lilizua mijadala wengi wakihoji kwa nini hakuwa anahoji tangu awali.

Leave a Comment