Share

Ukuzaji wa miche katika maabara nchini Tanzania

Share This:

Katika kurahisisha kazi kwa wakulima , jamaa mmoja ameanzisha mradi wa kuotesha miche ya migomba, mananasi na mimea mingine katika maabara kisha kuwauzia wakulima. Anaweza kuotesha hadi miche milioni moja. Tazama vidio.

Leave a Comment