Share

Ulaya yakubaliana hatua zaidi kukabiliana na wakimbizi

Share This:

Mawaziri wa kigeni wa Umoja wa Ulaya wakubaliana hatua zaidi za kukabiliana na wakimbizi. Juhudi za kufuta huduma ya Obamacare zazidi kukwama. Na Somalia yafanikiwa kurejesha huduma ya Internet. Papo kwa Papo 18.07.2017.

Leave a Comment