Share

ULINUNUA KIWANJA DODOMA? Ikufikie hii taarifa

Share This:

Ni miezi michache tu imepita tangu Rais Magufuli avunje Mamlaka ya Ustawishaji CDA Dodoma, ambapo August 28, 2017 Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi kazungunzia mkakati mpya ulioandaliwa na Serikali kushughulikia taratibu za watu waliouziwa viwanja na wanaotarajia kufanya hivyo hivi karibuni.

Leave a Comment