Share

Ulipofikia ujenzi wa jengo la kuongozea ndege Mwanza Airport

Share This:

Jiji la mwanza ni kati ya majiji yanayokuwa kwa kasi zaidi kiuchumi na miundombinu yake, hilo pia linaongezwa nguvu na agizo la Rais magufuli kuelekeza fedha zaidi ya bilioni 2 zilizokuwa zitumike kwenye sherehe za muungano zijenge barabara ya Mwanza – Airport kuanzia eneo la Ghana Quarter hadi uwanja wa ndege.

Kingine ni kwamba kwenye uwanja wa ndege wa mwanza kunafanyika ujenzi wa jengo la kuongozea ndege ambapo
Kupitia wizara ya ujenzi, uchukuzi na mawasiliano chini ya Profesa Makame Mbarawa ambaye alifika kwa ajili ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, amesema wameshalipa deni la bilioni 7.6 kwa Mkandarasi na ujenzi tayari unaendelea.

Leave a Comment