Share

Umoja wa Mataifa waingia mkataba na Serikali kupitia Maafisa habari

Share This:

Umoja wa Mataifa UNDP umeonyesha nia  ya kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia chama cha maafisa habari na mawasiliano Tanzania(TAGCO) .

Katika ushirikiano huo sekta ya habari itatoa fursa kwa wanahabari kutembelea na kuitangaza miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali.

Leave a Comment