Share

Umuhimu wa mtindo wa maisha

Share This:

Mazoezi sio tu kwa ajili ya kujenga misuli. Yanakupa nguvu, yanakufanya uwe mwepesi, yanazuia magonjwa ya moyo, maumivu ya mgongo, kuongezeka uzito na hata matatizo ya kisaikolojia.

Leave a Comment