Share

UN yaionya Syria na washirika wake juu ya Idlib

Share This:

Wakati Urusi mshirika wa Syria ikipania kulishambulia eneo la mwisho la waasi la Idlib katibu mkuu wa UN Antonio Guterres asema Idlib haiwezi kugeuzwa uwanja wa umwagaji damu.Papo kwa Papo 12.09.2018

Leave a Comment