Share

UN yataka uchaguzi wa Libya ufanyike mapema

Share This:

Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa limekataa kuiidhinisha Desemba 10 kuwa tarehe ya uchaguzi, likitaka uchaguzi wa wabunge na urais ufanyike mapema iwezekanavyo, kutokana na kuimarika kwa usalama. Papo kwa Papo 14.08.2018

Leave a Comment