Share

Unafahamu namna ya kutumia viwavi kuwa suluhisho la takataka?

Share This:

Mjasiriamali huyu kutoka Tanzania anatumia lava au viwavi kama suluhisho la takataka na pia kama chakula cha kuku na samaki. Fahamu mengi zaidi kwenye vidio.

Leave a Comment