Share

Unaijuwa Maktaba ya Bustanini?

Share This:

Wajerumani wana utamaduni wa kuviweka vitabu walivyokwishasoma kwenye maktaba za bustanini, maarufu kama “Offener Bücherschrank”, ambayo huwaruhusu watu wengine kuja kuazima na kusoma vitabu hivyo wawapo mapumzikoni. Unaweza hata kuchukuwa na kwenda kusoma nyumbani na kisha kurejesha. Je, una chochote cha kujifunza hapa?

Leave a Comment