Share

Unashangaa kuvaa viatu vya kike, hata sidilia navaa – Calisa

Share This:

Mwanamitindo wa kiume ambaye haishiwi vituko, Calissa amefunguka kwa kudai kuwa watu wasimshangae kuvaa viatu vya kike kwani hata sidilia za kike anaweza kuvaa kama akiwekewa mkwanja mezani. Model huyo ameiambia Bongo5 kuwa milioni kumi pekee zinamtosha kumvalisha shela la harusi pamoja na sidilia kwa madai hiyo ni kazi yake ambayo ameichagua katika maisha yake.

Leave a Comment