Share

Unyanyapaa dhidi ya walemavu wa ngozi ungalipo

Share This:

Dunia wiki hii imeadhimisha siku ya kuwahamasisha watu kuhusiana na ulemavu wa ngozi kwani ubaguzi dhidi ya walemavu hao ungalipo. Vile vile imani potofu za kishirikina kuhusu uwezo wa sehemu za watu hao kutibu magonjwa na hata kuleta utajiri zimewatia hatarini.

Leave a Comment