Share

Uongozi Wa Chuo Cha Reli Tabora Wapewa Changamoto

Share This:

Uongozi wa chuo cha kiteknolojia cha reli cha Tabora umeombwa kukisajili chuo hicho na kuwajengea uwezo wanafunzi ili waweze kusimamia mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa.

Leave a Comment