Share

UPDATES: Kesi ya mdogo wa Rostam Aziz, ulipofikia upelelezi baada ya Siku 37

Share This:

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, mdogo wa mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz, Akram Aziz katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeendelea kupigwa kalenda kwa sababu upelelezi bado haujakamilika.

Akram alifikishwa mahakamani hapo October 31, mwaka huu akikabiliwa na mashitaka 75 katika kesi namba 82/2018 ikiwemo kukutwa na nyara za serikali, silaha, risasi na utakatishaji fedha wa dola za Marekani 9,018.

Leave a Comment