Share

Upelelezi wa kesi ya Halima Mdee wa kumtolea lugha ya matusi Magufuli umekamilika

Share This:

Leo September 12 2017 upelelezi wa kesi ya kumtolea lugha ya matusi Rais John Magufuli inayomkabili Mbunge wa Kawe Halima Mdee umekamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Leave a Comment