Share

Upinzani nchini Tanzania kuIpinga Sheria ya Vyama vya Siasa Mahakamani

Share This:

Vyama vya upinzani 8 vinavyoshirikiana kisiasa nchini Tanzania vimefungua shauri katika mahakama ya Africa Mashariki kupinga sheria ya marekebisho ya vyama vya siasa ambayo ilipingwa vikali na wanasiasa, wadau wa maendeleo pamoja na wanaharakati katika mchakato wake wa awali kwa kile kinachotajwa kuwa inaminya vyama vya siasa, kukiuka katiba ya nchi pamoja na Kukinzana na mikataba ya kimataifa ambayo nchi hiyo imeridhia.

Leave a Comment