Share

Upinzani waendelea na maandamano Kenya

Share This:

Rais Donald Trump anatarajiwa kutangaza kujitoa katika makubaliano ya kimataifa ya mpango wa nyuklia. Israel nayo imejiondoa shirika la UNESCO. Wafuasi wa upinzani Kenya waendeleza maandamano licha ya kupigwa marufuku. Papo kwa Papo 13.10.2017.

Leave a Comment