Share

Ushahidi uliotolewa Mahakamani kesi ya Wema Sepetu Sept 12

Share This:

Ofisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Inspekta Wille ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa alikuta msokoto wa Bangi kwenye Kabati la Vyombo la Wema Sepetu.

Inspekta Wille ameyaeleza hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati akiongozwa na wakili serikali, Constantine Kakula kutoa ushahidi katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Wema na wenzake.

Leave a Comment