Share

Ushawahi kufikiria kushukuru kwa machache uliyofanikiwa?

Share This:

Tazama mtoto huyu Ahmad alivyofurahia mguu wake wa bandia. Video yake hii imesambaa dunia nzima baada ya mtu kuiweka katika mtandao wa twitter

Leave a Comment