Share

Usininyime fursa ya elimu kisa sina uwezo wa kuona

Share This:

Watoto wengi wenye ulemavu wa kutoona huko Tanzania hujikuta wakinyimwa fursa ya kupata elimu,ifike wakati wazazi na jamii kwa ujumla itambue umuhimu wa kila mtoto kupata elimu bila kujali mapungufu yake.Tazama vidio hii ya Papo kwa papo ya Hawa Bihoga wa DW Daresalam. 07.11.2018

Leave a Comment