Share

“Usumbufu umezidi, tusiwaogope hawa watu” –Mbunge Ditopile

Share This:

Mbunge wa viti maalum CCM Mariam Ditopile alisimama Bungeni Dodoma leo May 11, 2018 kuchangia mapendekezo yake katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambapo ameishauri Serikali akiwemo Waziri wa Wizara hiyo Charles Mwijage kujenga mahusiano mazuri wa wawekezaji nchini ikiwa inahitaji kweli kuinua uchumi na sio kuwakimbia kama inavyofanya sasa.

Leave a Comment