Share

UTACHEKA: WAZIRI MWAKYEMBE ALIVYOWASEMA WAIGIZAJI “JITAMBUENI, MLEVI NYWEA KWAKO”

Share This:

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, DKt.Harrison Mwakyembe amezindua rasmi Kongamano la Waigizaji Tanzania ambapo amezungumza na wadau wa tasnia ya filamu akiwataka wajue jinsi ya kujilinda, waache ulevi na ufuska na kama wanahitaji kulewa basi wanyee Pombe ndani na kama ufuska basi waowe wake wawili.

Leave a Comment