Share

Utalii wa kingono katika fukwe Kenya

Share This:

Kundi la polisi nchini Kenya wameandaa programu ya kupambana na ukahaba katika fukwe. Sehemu ambapo baadhi ya watalii wenye pesa huwadhurumu kingono mabinti wadogo kwa kuwarubuni na fedha.

Leave a Comment