Share

Utamaduni wa kuoga kwa mvuke Ethiopia

Share This:

Jamii ya waraya nchini Ethiopia hupendelea zaidi kuoga kwa mvuke ili wasichana waweze kulinda na kubaki na urembo wa asili. Lakini pia kuoga kwa mvuke ni tiba ya Malaria.

Leave a Comment