Share

Utandawazi utaletaje maendeleo Afrika?

Share This:

Serikali kadhaa za nchi za Kiafrika zinajitahidi kubadilisha mifumo yake katika sekta mbalimbali na kuifanya kuwa ya kidijitali. Je, utandawazi unaweza kusaidia katika kuleta maendeleo katika bara la Afrika?

Leave a Comment