Share

Utani Utani ni kama tukio la Tundu Lissu, kauli za Rais Magufuli – Young Dee

Share This:

Msanii wa muziki kutoka label ya King Cash, Young Dee amefunguka kwa kudai kuwa wimbo wake mpya ‘Utani Utani’ ni zao kutoka katika maamuzi ya Rais Magufuli pamoja na ugomvi ambao uliibuka kati ya Diamond na Ommy Dimpoz.

Akiongea na Bongo5 Jumatano hii kwa njia ya simu akiwa mkoani, Young Dee amesema wimbo huo ameuandika kutokana na matukio ambayo yanatokea kiutani na baadaye kuibuka kuwa ndio habari ya mjini.

Leave a Comment